Chelsea wameanza rasmi kubadili mwelekeo wa mkakati wao wa usajili kwa kuelekeza nguvu kwa wachezaji wenye uzoefu mkubwa wa Ligi Kuu England, baada ya miaka kadhaa ya kujenga kikosi kilichojaa vipaji vya vijana.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka ndani ya klabu, The Blues sasa wanaamini kuwa ni wakati wa kuongeza viongozi wenye uzoefu watakaosaidia kulipa kikosi mwelekeo mpya, huku..... download Xtra 90 App



