Kikosi cha Yanga SC kimewasili wilayani Bukombe, mkoani Geita, kwa ajili ya kuendelea na ratiba za klabu hiyo, huku mshambuliaji wa timu hiyo Laurindo Depu akiwa miongoni mwa wachezaji ambao hawajaonekana kwenye msafara huo.
Kutokuwepo kwa Depu katika safari hiyo kumeibua maswali miongoni mwa mashabiki wa Yanga, hasa baada ya mchezaji huyo kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo wa..... download Xtra 90 App



