Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu • 4th August 2026

Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau

Mshambuliaji wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio "Depú", anatarajiwa kuondoka Yanga SC katika dirisha hili la usajili, huku klabu yake ya zamani, Petro de Luanda, ikionyesha nia kubwa ya kumrejesha nyumbani.

Hata hivyo, mazungumzo kati ya Petro de Luanda na Yanga yameripotiwa kusuasua kutokana na kutofikiwa kwa makubaliano ya ada ya uhamisho.

Inadaiwa..... download Xtra 90 App

More Stories

Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Today, READ MORE →
Neo Maema arejea Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja

Simba kumrejesha Maema kwa mkopo
Simba kumrejesha Maema kwa mkopo
Today, READ MORE →
Moises Caicedo atuma ujumbe mzito kwa mashabiki, Akimsihi Enzo abaki Chelsea.

Rs Berkane yamtangaza Bupista wa Cape Verde kuwa kocha mkuu mpya

"Yuko wapi Depu" mashabiki na wadau wa yanga waulizia mshambuliaji wao
Today, READ MORE →
Simba yamaliza pre-season kibabe Rwanda, yaichapa Al Merriekh 2-0

Yanga wamsajili rasmi Oumar Farouk Komara kutoka Golden Arrows

Nusu Fainali za CECAFA Kagame Cup 2026 kupigwa Leo Kigali

Twiga Stars wakabiliwa na mechi ya maamuzi dhidi ya Ivory Coast