Twiga Stars imehitimisha safari yake katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026) baada ya kufungwa mabao 2-1 na Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa Kundi C.
Licha ya kuaga mashindano, Kocha Mkuu Bakari Shime amewapongeza wachezaji wake kwa kujituma na kufuata mpango wa mchezo kama ulivyopangwa.
Amesema walitumia mbinu zilizolenga kutumia udhaifu wa..... download Xtra 90 App



