Habari za kusikitisha zimeikumba soka la Uganda baada ya nahodha wa klabu ya SC Villa, David Owori, kufariki dunia kufuatia shambulio la majambazi.
Kwa mujibu wa taarifa, Owori alishambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi akiwa njiani kurejea nyumbani usiku wa kuamkia leo.
Baada ya tukio hilo, alikimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu, lakini alifariki dunia leo kutokana na..... download Xtra 90 App



