Siku ya leo imeibua maswali mengi kwa mashabiki wa soka nchini baada ya matukio mawili yaliyohusisha klabu kongwe za Kariakoo, Yanga na Simba, huku jina la kiungo mahiri wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, likitajwa kuwa sehemu ya mjadala.
Muda mfupi baada ya klabu ya Yanga kuweka bandiko lenye namba 6/6 kwenye ukurasa wake wa Instagram, Rais wa heshima wa Simba, Mohamed..... download Xtra 90 App



