Klabu ya yanga hii leo majira ya saa sita mchana inatarajia kufanya uzinduzi wa jezi zake za msimu wa 2026-27 ambazo zitatumika katika mashindano mbalimbali ikiwemo ligi kuu tanzania bara .
Yanga inafanya uzinduzi huo ikiwa zimesalia siku mbili na masaa kadhaa kuelekea katika kilele cha wiki ya wananchi kilichozinduliwa ushirombo na kutajwa kumalizika jijini Dar es salaam katika Dimba la..... download Xtra 90 App



