Mkurugenzi wa Jayrutty Investment Ltd, CPA Joseph Rwegasira, ameishukuru familia ya Simba SC kwa mwitikio mkubwa walioonyesha kufuatia uzinduzi wa jezi mpya za klabu kwa msimu wa 2026/27. Rwegasira amesema mapokezi hayo yanaonyesha kiwango kikubwa cha upendo na uaminifu wa mashabiki kwa klabu yao, huku akisisitiza kuwa kampuni itaendelea kuhakikisha bidhaa zenye ubora zinawafikia..... download Xtra 90 App



