Mkurugenzi wa Jayrutty Investment Ltd, msambazaji rasmi wa jezi za Simba SC, CPA Joseph Rwegasira, amesema mashabiki wa Simba ndio wenye nafasi kubwa ya kudhibiti biashara ya jezi feki kwa kufanya uamuzi wa kununua jezi halisi pekee. Amesisitiza kuwa vita dhidi ya bidhaa bandia haviwezi kufanikiwa bila ushirikiano wa Wanasimba wenyewe.
Rwegasira amesema Jayrutty itaendelea kushirikiana na..... download Xtra 90 App



