Mshambuliaji mpya wa Liverpool, Victor Muñoz, ameripoti rasmi kwenye mazoezi ya kikosi hicho katika Kituo cha Mazoezi cha AXA, baada ya kufupisha likizo yake kufuatia mafanikio ya kutwaa Kombe la Dunia 2026 akiwa na Timu ya Taifa ya Hispania. Muñoz alianza rasmi programu za maandalizi ya msimu mpya chini ya kocha Andoni Iraola, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufanya mazoezi na..... download Xtra 90 App



