Azam FC imepangwa kukutana na mshindi wa mchezo kati ya ZED FC ya Misri na ASAS Djibouti Telecom ya Djibouti katika hatua ya pili ya awali ya mashindano ya CAF Confederation Cup msimu wa 2026/27. Ratiba hiyo imepatikana baada ya kura ya bahati nasibu iliyofanyika jijini Cairo, Misri, ambapo Azam walipata nafasi ya kuanzia moja kwa moja hatua ya pili kutokana na nafasi yao nzuri katika viwango..... download Xtra 90 App



