Barcelona imeibuka kwa nguvu katika mbio za kumsajili kiungo nyota wa Manchester City, Rodri, huku ripoti za hivi karibuni zikidai kuwa mchezaji huyo ameonyesha utayari wa kujiunga na miamba hiyo ya Catalonia.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka vyombo vya habari vya Ulaya, mazungumzo kati ya Rodri na Real Madrid yamekwama, jambo lililoipa Barcelona nafasi ya kuingia rasmi kwenye mbio..... download Xtra 90 App



