Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, ametamba kuwa klabu hiyo bado haijafunga dirisha la usajili na kwamba mchezaji wa mwisho atatangazwa rasmi Jumapili kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day).
Kamwe amesema usajili huo wa mwisho ni sehemu ya ahadi iliyotolewa na Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said, ambaye wakati wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa klabu hiyo..... download Xtra 90 App



