Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2026 yanafikia tamati hii leo Ijumaa Agosti 7, kwa michezo miwili ya mwisho itakayochezwa katika Uwanja wa Kigali Pele, jijini Kigali, Rwanda. Mchezo wa fainali utawakutanisha Gor Mahia ya Kenya na wenyeji Rayon Sports kuanzia saa 2:00 usiku, ambapo timu hizo zitapambana kuwania ubingwa wa mashindano ya mwaka huu.
Kabla ya pambano hilo, Al Hilal SC ya Sudan..... download Xtra 90 App



