Klabu ya Real Madrid imetangaza rasmi kuongeza mkataba wa mshambuliaji wake nyota, Vinicius Júnior, kwa miaka sita zaidi, hatua itakayomuweka Santiago Bernabeu hadi Juni 2032. Uamuzi huo unamaliza miezi kadhaa ya tetesi zilizokuwa zikimuhusisha na uwezekano wa kuondoka katika klabu hiyo.
Vinícius, mwenye umri wa miaka 26, alikuwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa..... download Xtra 90 App



