Kiungo wa Afrika Kusini, Neo Maema, amerejea rasmi kambini Simba SC na kuungana na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya wa 2026/27. Nyota huyo aliwasili baada ya kumaliza mapumziko yake na tayari ameanza mazoezi chini ya benchi la ufundi la klabu hiyo, huku akionyesha utayari wa kuanza msimu mpya.
Kurejea kwa Maema ni habari njema kwa Simba SC, ambao wanaendelea kukamilisha kikosi chao..... download Xtra 90 App



