Hatma ya kiungo wa Manchester City na nahodha wa Hispania, Rodri, imechukua sura mpya baada ya mchezaji huyo kuweka wazi kuwa anataka kuondoka Etihad na kujiunga na Barcelona.
Taarifa za sasa kutoka Hispania na Uingereza zinaeleza kuwa Rodri amefanya uamuzi wake na anapendelea kuhamia Barcelona, huku wakala wake, Pablo Barquero, akithibitisha kuwa mchezaji huyo amechagua Barcelona mbele..... download Xtra 90 App



