Klabu ya Mamelodi Sundowns imechukua hatua ya kipekee ya kumuenzi kiungo wake wa zamani, Jayden Adams, kwa kutotumia jezi namba 8 katika msimu wa 2026/27 kufuatia kifo cha ghafla cha nyota huyo akiwa na umri wa miaka 25.
Hatua hiyo inatajwa kuwa sehemu ya heshima kubwa kwa Adams ambaye alifariki mwezi Julai 2026, wiki chache tu baada ya kuiwakilisha Afrika Kusini katika Kombe la Dunia la..... download Xtra 90 App



