Ni rasmi! Pitso Mosimane amerejea kwenye kiti cha ukocha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, baada ya uongozi wa South African Football Association (SAFA) kuidhinisha uteuzi wake.
Mosimane anachukua nafasi iliyoachwa na Mbelgiji Hugo Broos, ambaye aliongoza Bafana Bafana kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kuondoka kwenye nafasi hiyo. SAFA NEC imeunga mkono Mosimane kuwa..... download Xtra 90 App



