Jorge Messi, baba mzazi na mshauri wa muda mrefu wa Lionel Messi, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68 baada ya kusumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu, kwa mujibu wa taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari vya Argentina.
Jorge alifariki katika hospitali mjini Rosario, Argentina, siku ya Ijumaa usiku. Taarifa hizo zimeenezwa na vyombo kadhaa vya habari, huku gazeti la El..... download Xtra 90 App



