Klabu ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Suleiman Mwalimu kutoka Wydad Athletic Club ya Morocco, huku kurejea kwake Tanzania kukitarajiwa kuwa miongoni mwa habari kubwa zinazowafurahisha mashabiki wa klabu hiyo.
Awali, Simba ilikuwa ikijaribu kumsajili Mwalimu kwa mfumo wa mkopo, lakini baada ya mpango huo kutofikia mwisho, uongozi wa klabu ulirejea nchini Morocco..... download Xtra 90 App



