Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0

Joel JJ By Joel JJ β€’ 8th August 2026

Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0

Tamasha la Simba Day limekamilika katika Uwanja wa Uhuru kwa kishindo, lakini furaha ya Wanasimba imepunguzwa baada ya Simba SC kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Polisi FC ya Kenya.

Mchezo huo ulikuwa sehemu muhimu ya kilele cha Simba Day, huku mashabiki wa Simba wakijitokeza kwa wingi kushuhudia kikosi chao kikijiandaa kwa msimu mpya.

Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker,..... download Xtra 90 App

More Stories

Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Today, READ MORE β†’
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day

Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia

Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Today, READ MORE β†’
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar

Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru

Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams

Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Today, READ MORE β†’
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru

Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026

Yesterday, READ MORE β†’