Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, ameanza ukurasa mpya wa maisha yake ndani ya klabu hiyo baada ya kurejea kwenye uwanja wa mazoezi wa Carrington kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa mapumziko yake.
Rashford amerejea klabuni baada ya kuitumikia timu ya taifa ya England kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026, huku sasa akielekeza nguvu zake katika maandalizi ya msimu..... download Xtra 90 App



