Kiungo mshambuliaji Greyson Gerrard Gwalala 'GGG' ameanza rasmi majukumu katika klabu yake mpya ya TRA United.
TRA United inajifua kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu 2026/27 unaotarajiwa kuanza wiki hii August 14.
Gwalala alijiunga na TRA United akitokea klabu ya Coastal Union aliyoitumikia kwa mafanikio makubwa.
Alitua kwa watoza ushuru hao akisaini mkataba wa miaka miwili..... download Xtra 90 App



