Simba SC imejikuta ikipigwa chenga ya mwili katika usajili wa mshambuliaji Suleiman Mwalimu, ambaye sasa ametua Yanga SC baada ya awali kuonekana kuwa tayari ameshakamilisha kila kitu kwa ajili ya kujiunga na Wekundu wa Msimbazi.
Inaelezwa kuwa Mwalimu alirejea nchini jana akitokea klabu ya Wydad AC ya Morocco akiwa na mpango wa kujiunga na Simba, huku klabu hiyo ikiwa imefikia..... download Xtra 90 App



