Azam FC imekamilisha kurejea kwa winga Gibril Sillah (27) raia wa Gambia, akitokea Al Ahly SC Benghazi ya Libya.
Sillah anarejea Azam baada ya kipindi chake cha kucheza nje ya Tanzania, huku ujio wake ukitarajiwa kuongeza chaguo na ushindani katika safu ya ushambuliaji ya Wana-Lambalamba.
Nyota huyo mwenye uwezo wa kucheza nafasi za pembeni anaingia katika kikosi kinachoendelea..... download Xtra 90 App



