Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtangaza mwamuzi Ahmed Arajiga kuwa atchezesha mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa kesho Jumatano, August 12 kwenye uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Arajiga atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Mohamed Mkono kutoka Tanga na Leonard Mkumbo kutoka Manyara.
Mwamuzi wa akiba ni Nassir Siyah kutoka..... download Xtra 90 App



