Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano na Mashujaa FC juu ya uhamisho wa mshambuliaji Ismail Mgunda, ambaye anatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kukamilisha hatua za mwisho za kujiunga na Wekundu wa Msimbazi.
Mgunda anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji wapya watakaoiongezea nguvu Simba katika safu ya ushambuliaji, baada ya klabu hiyo kufikia makubaliano na..... download Xtra 90 App



