Yanga yaibuka kidedea Ngao ya Jamii, yaichapa Simba 1-0

Joel JJ By Joel JJ β€’ 12th August 2026

Yanga yaibuka kidedea Ngao ya Jamii, yaichapa Simba 1-0

Yanga SC imetetea Ngao ya Jamii kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuichapa Simba SC bao 1-0 katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Licha ya kuanza mchezo kwa kasi ya kawaida, Yanga ilianza kurejesha umiliki wa mpira baada ya dakika 25 na kupata bao pekee la ushindi dakika ya 31. Albert Kangwanda alikuwa shujaa wa Wananchi baada ya kufunga kwa kichwa..... download Xtra 90 App

More Stories

PSG Watwaa tena taji la UEFA Super cup kwa mara ya pili mfululizo.

Today, READ MORE β†’
Manqoba Aendeleza Rekodi ya Roman Folz Yanga

Ahmed Ally: Atema Nyongo msimbazi huku akiwataka mashabiki kutokata tamaa

Mashabiki wa Simba Tulieni ni Swala la Mchezo : Rwagesira Mkurugenzi wa Jayrutty
Mashabiki wa Simba Tulieni ni Swala la Mchezo : Rwagesira Mkurugenzi wa Jayrutty
Today, READ MORE β†’
Yanga yaibuka kidedea Ngao ya Jamii, yaichapa Simba 1-0
Yanga yaibuka kidedea Ngao ya Jamii, yaichapa Simba 1-0
Today, READ MORE β†’
Yanga mbioni kukamilisha usajili wa Aziz Ki

Azam Fc yamaliza pre-season Rwanda, yaelekea Arusha, Fei Toto ndani

Ronaldo, Georgina wafunga ndoa baada ya miaka 10 ya uchumba

Barcelona yaongeza dau kumsajili Rodri
Barcelona yaongeza dau kumsajili Rodri
Today, READ MORE β†’
Simba, Mgunda makubaliano yamefikiwa, asubiri utambulisho