Kocha mkuu wa yanga Manqoba Mngqith amefanikiwa kuingia katika kumbukumbu za makocha wa timu hiyo ambao wameshinda taji mechi yao ya kwanza kufuatia kutwaa taji la Ngao ya jamii.
Manqoba anafikiria hatua hiyo baada ya kuingoza Yanga katika ushindi wa bao moja katika mchezo uliochezwa visiwani Zanzibar dhidi ya simba inayonolewa na Steve Berker ambae wote ni raia wa afrika..... download Xtra 90 App



