Mshambuliaji wa Uruguay, Darwin Nuñez, amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Trabzonspor ya Uturuki kwa mkopo akitokea Al Hilal ya Saudi Arabia, katika hatua inayomrejesha barani Ulaya na kumkutanisha tena na aliyekuwa mwenzake Liverpool, Mohamed Salah.
Nuñez, mwenye umri wa miaka 28, amejiunga na Trabzonspor baada ya kushindwa kupata nafasi ya kudumu katika kikosi cha Al..... download Xtra 90 App



