Kipyenga cha ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27 kinapulizwa rasmi leo, Ijumaa, Agosti 14, 2026, huku macho ya wapenzi wa soka nchini yakielekezwa kwenye viwanja mbalimbali kushuhudia mzunguko wa kwanza wa msimu.
Msimu huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkali, hasa baada ya klabu kufanya maboresho makubwa katika vikosi vyao kwa lengo la kuwania ubingwa, nafasi za juu na..... download Xtra 90 App



