Kocha mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesema anatarajia Namungo FC kucheza kwa kujiamini na kujilinda katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2026/27.
Yanga itakutana na Namungo Agosti 15, 2026, katika Uwanja wa Majaliwa, mkoani Lindi, huku Mngqithi akimtambua kocha wa wapinzani hao kama mtaalamu mwenye uwezo na anayemfahamu vyema tangu alipokuwa akifundisha timu..... download Xtra 90 App



