Ngassa aweka rekodi ligi kuu 2026/27

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th August 2026

Ngassa aweka rekodi ligi kuu 2026/27

Kiungo mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Berno Ngassa, ameweka historia baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao katika msimu wa Ligi Kuu NBC 2026/27.

Ngassa aliingia kwenye vitabu vya rekodi baada ya kufunga bao la kwanza la msimu katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Pamba Jiji uliochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kiungo huyo alihitaji dakika 17 pekee kufungua..... download Xtra 90 App

More Stories

Pamba Jiji na Dodoma Jiji Hakuna mbabe ufunguzi wa msimu
Pamba Jiji na Dodoma Jiji Hakuna mbabe ufunguzi wa msimu
Today, READ MORE β†’
Ngassa aweka rekodi ligi kuu 2026/27
Ngassa aweka rekodi ligi kuu 2026/27
Today, READ MORE β†’
Yanga kufanya utambulisho wa Kimataifa kesho , Wananchi waitwa kwa wingi kumshuhudia nyota huyo
Yanga kufanya utambulisho wa Kimataifa kesho , Wananchi waitwa kwa wingi kumshuhudia nyota huyo
Today, READ MORE β†’
Jean Baleke: Nikipigiwa simu na Simba niko tayari kurudi
Jean Baleke: Nikipigiwa simu na Simba niko tayari kurudi
Today, READ MORE β†’
Kocha wa Yanga amwaga sifa kwa Juma Mgunda asema ni Kocha mzuri
Kocha wa Yanga amwaga sifa kwa Juma Mgunda asema ni Kocha mzuri
Today, READ MORE β†’
Mngqithi: Tuna imani tutapata matokeo mazuri dhidi ya Namungo
Mngqithi: Tuna imani tutapata matokeo mazuri dhidi ya Namungo
Today, READ MORE β†’
Bursaspor yamkomalia Oura, yaongeza dau
Bursaspor yamkomalia Oura, yaongeza dau
Today, READ MORE β†’
Akaminko atua Al-Akhdar ya Libya
Akaminko atua Al-Akhdar ya Libya
Today, READ MORE β†’
JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili
JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili
Today, READ MORE β†’
Pazia la ligi kuu 2026/27 linafunguliwa leo
Pazia la ligi kuu 2026/27 linafunguliwa leo
Today, READ MORE β†’