Pamba Jiji na Dodoma Jiji wameanza msimu wa Ligi Kuu NBC Premier League 2026/27 kwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Dodoma Jiji walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Beno Ngassa dakika ya 17, kabla ya Pamba Jiji kusawazisha dakika ya 24 kupitia Deogratius Mafie.
Matokeo hayo yanaakisi ushindani uliokuwepo katika mchezo huo,..... download Xtra 90 App



