Klabu ya Simba SC imeshindwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Paul Peter Kasunda kutoka JKT Tanzania, baada ya muda wa kukamilisha uhamisho huo kuisha.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, JKT Tanzania ilikuwa imeitaka Simba kukamilisha usajili wa mshambuliaji huyo kabla ya saa 12 jioni, ili kutoa nafasi kwa klabu hiyo ya kijeshi kupata muda wa kutafuta na kumsajili mbadala..... download Xtra 90 App



