Dirisha la usajili kwa klabu zinazoshiriki NBC Premier League msimu wa 2026/27 limefikia tamati, huku timu mbalimbali zikifanya maboresho kwenye vikosi vyao kwa lengo la kuongeza ushindani na kufikia malengo waliyojiwekea. Klabu zimekuwa kwenye harakati za kusaka wachezaji wenye uwezo wa kuongeza ubora katika maeneo tofauti ya uwanja, huku baadhi ya sajili zikitawala zaidi gumzo la soko la..... download Xtra 90 App



