Mikiki mikiki ya ligi kuu inaendelea leo ambapo mechi za kukamilisha mzunguuko wa kwanza zitapigwa.
Mchezo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini utawakutanisha Wekundu wa Msimbazi , Simba Sc dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.
Baada ya kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani zao Yanga kwa kufungwa bao 1-0, Simba itashuka dimba la..... download Xtra 90 App



