Arsenal imeanza msimu wa 2026/27 kwa kutuma ujumbe mzito baada ya kuichapa Manchester City mabao 3-0 na kutwaa Ngao ya Jamii (Community Shield) katika mchezo uliopigwa Principality Stadium jijini Cardiff.
Ushindi huo umeipa Arsenal taji lake la kwanza la msimu, huku Manchester City ikianza rasmi enzi mpya chini ya kocha Enzo Maresca baada ya kuondoka kwa Pep Guardiola. Mchezo huo pia..... download Xtra 90 App



