Klabu ya soka ya Dodoma Jiji FC ‘Walima Zabibu’ imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Marouf Tchakei, kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima wa 2026/2027 akitokea Singida Black Stars.
Tchakei si jina geni katika masikio ya mashabiki wa soka nchini kufuatia kiwango chake bora alichokionyesha huko nyuma akiwa na klabu za Fountain Gate na Singida,..... download Xtra 90 App



