Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki, leo ameanza kufanya mazoezi pamoja na wachezaji wenzake katika maandalizi ya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Alhamisi, Agosti 20, katika Uwanja wa KMC Complex.
Aziz Ki hakuhitaji muda mrefu kuungana na kikosi cha Yanga kwenye maandalizi, hali ambayo imewapa matumaini mashabiki wa klabu..... download Xtra 90 App



