Klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya imemtambulisha rasmi mshambuliaji Jean Claude Girumugisha, akitokea Al Hilal ya Sudan.
Girumugisha, raia wa Burundi ambaye alikuwa akitajwa kuwindwa na Yanga ya Tanzania, amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu hiyo ya Libya.
Mshambuliaji huyo sasa ataungana na nyota wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye pia amesajiliwa na Al..... download Xtra 90 App



