Namungo na Fountain Gate wapata ushindi wa kwanza NBC Premier League.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 18th August 2026

Namungo na Fountain Gate wapata ushindi wa kwanza NBC Premier League.

Michezo miwili ya NBC Premier League imekamilika huku Namungo FC na Fountain Gate FC zikifanikiwa kupata ushindi katika michezo yao. Namungo FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold, katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa huku bao hilo pekee likitosha kuipa Namungo pointi zote tatu.

Bao la ushindi kwa Namungo limefungwa na Hashim Manyanya dakika ya 25, akitumia vyema..... download Xtra 90 App

More Stories

Ibrahim Nindi atangazwa rasmi na Simba kwa msimu wa 2026/27

Today, READ MORE β†’
AFCON2027 Fursa kwa Tanzania na Zanzibar, Rais Mwinyi aweka wazi
AFCON2027 Fursa kwa Tanzania na Zanzibar, Rais Mwinyi aweka wazi
Today, READ MORE β†’
Namungo na Fountain Gate wapata ushindi wa kwanza NBC Premier League.
Namungo na Fountain Gate wapata ushindi wa kwanza NBC Premier League.
Today, READ MORE β†’
Thapelo Maseko atambulishwa rasmi FC Copenhagen, Mamelodi Sundowns yamuaga

Fei Toto atarajiwa kukutana na viongozi wa Azam kujadili mkataba mpya

Raundi ya pili NBC Premier League kuanza leo

Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 20, August 18 2026

Xtra 90 Bets : Hizi hapa ni odds za uhakika, treni la wiki mbili

Girumugisha atambulishwa Al Ahli Tripoli

Mkude atambulishwa Mashujaa Fc
Mkude atambulishwa Mashujaa Fc
Today, READ MORE β†’