Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kutumia vyema fursa zitakazotokana na michuano ya AFCON 2027, inayotarajiwa kufanyika mwakani katika mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Rais Mwinyi ametoa kauli hiyo wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Fumba, uliopo Wilaya ya Magharibi B, Unguja, ambao ni miongoni mwa viwanja vitakavyotumika..... download Xtra 90 App



