Msemaji wa Singida Black Stars, Hussein Massanza, amesema timu hiyo inakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa viwanja vya mazoezi ikiwa jijini Bukoba kuelekea mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2026/27 dhidi ya Kagera Sugar.
Massanza amesema changamoto hiyo imekuwa sehemu ya maandalizi ya timu hiyo kabla ya kukutana na Kagera Sugar, huku Singida Black Stars..... download Xtra 90 App



