Kocha mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesema timu yake imejiandaa kwa umakini kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, huku akitambua ubora wa wapinzani wao.
Mngqithi amesema Coastal Union ina wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kiufundi, hasa katika kutumia mguu wa kushoto, akimtaja Shiza Kichuya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuleta changamoto katika..... download Xtra 90 App



