Manchester United iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo wa Cameroon, Carlos Baleba, kutoka Brighton & Hove Albion, huku mazungumzo kati ya klabu hizo mbili yakiwa yamefikia hatua za juu.
United imewasilisha ofa ya takribani Pauni milioni 60 pamoja na Pauni milioni 5 za nyongeza, ingawa kiasi hicho bado kiko chini ya thamani ambayo Brighton wanatarajia kupata kwa..... download Xtra 90 App



