Kiungo wa Simba SC, Ibraheem Jabaar, amekiri kosa lake baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 44 katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji, uliomalizika kwa Simba kushinda mabao 2-1.
Jabaar alitolewa uwanjani kabla ya mapumziko, hali iliyowalazimu Simba kucheza kipindi cha pili wakiwa na wachezaji 10.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Jabaar amekubali kuwajibika bila kutoa visingizio,..... download Xtra 90 App



