Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said, Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, na Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji, wameungana na viongozi, ndugu na wadau mbalimbali wa michezo kumuaga aliyekuwa Rais wa zamani wa Yanga, Francis Mponjoli Mwakalukwa Kifukwe, katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Kifukwe alifariki dunia Ijumaa, Agosti 14, 2026, nchini India..... download Xtra 90 App



