Ligi Kuu ya England (Premier League) imepitisha mabadiliko kadhaa ya sheria yatakayoanza kutumika rasmi msimu wa 2026/27, huku yakilenga kupunguza muda unaopotea wakati wa michezo na kuongeza ufanisi wa mchezo.
Miongoni mwa mabadiliko hayo ni sheria inayomtaka mchezaji aliyeumia kutoka nje ya uwanja kwa angalau dakika moja kabla ya kurejea. Pia, timu zitatakiwa kutekeleza mipira ya..... download Xtra 90 App



